Kwa matangazo ya video na Picha .. 📱 Tupigie simu 0742100740 📧 Email Shafiishayani@gmail.com WhatsApp 0689079948

Wednesday, 23 August 2023

Mbeya Achomwa moto , kwa kubaka

Kijana mmoja ambaye jina lake halijajulikana, ameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kukutwa akimlawiti mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka minne hadi mitano na kumsababishia kifo. Tukio hilo limetokea Isanga jijini Mbeya na kuzua taharuki kubwa, ikielezwa kwamba kumekuwa na mfululizo wa matukio ya watoto kupotea katika mazingira ya kutatanisha katika mtaa huo.

MIUNDOMBINU YA SHULE YA MSINGI MAGOMENI.

Wiki mbili baada ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Nipashe kuzungumza na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kutaka kujua kwanini Shule ya Msingi...